Tuesday, June 3, 2014
Wednesday, May 28, 2014
WAKAZI WA MOROGORO TUMUENZI MANGWEA LEO PALE SAMAKI SAMAKI
Leo ni siku ya marehemu Albert Mangwea. Na kama uko Moro basi si vibaya ukajisogeza pale Samaki Samaki kuanzia saa 10 jioni kwaajili ya kumbukumbu yake. Kutakuwa na burudani kutoka kwa wasanii mbali mbali. Kiingilio ni 5,000/- R.I.P Mangwea
Sunday, May 4, 2014
TAZAMA PICHA ZA SHOW YA TEMBA NA CHEGE NDANI YA MOROGORO
PICHA.
Tuesday, April 29, 2014
FURSA: MAFUNZO YA KUPIGA ALA ZA MUZIKI KUANZA TENA MWEZI MEI
Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye mazoezi
Action Music Tanzania (AMTz) inatangaza fursa kwa watu wote kujiunga na mafunzo ya kupiga ala za muziki yanayoanza tarehe 3/5/2014, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wanamuziki wa kupiga ala na kufanya maonesho kwa weledi na utaalamu zaidi.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa darasani
Mafunzo yanayotolewa ni pamoja na upigaji wa ala za muziki zikiwemo gita, kinanda, tarumbeta, saxophone, konga, drum set, na upigaji wa ngoma za asili. Pia yatatolewa mafunzo ya ‘body percussion’ yaani matumizi ya mwili katika kutengeneza midundo ya muziki.
Mafunzo hayo yanafanyika kwenye ofisi za AMTZ zilizopo maeneo ya Mwenge mtaa wa Umoja, nyuma ya magorofa ya jeshi na kwenye Idara ya Sanaa na Sanaa za Maonesho Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambapo ili kujiunga na mafunzo haya wasiliana nao kwa simu namba 0686928828/0653075791 ili kupata fomu za kujiunga na mafunzo.
Wednesday, October 30, 2013
TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 NDANI YA UWANJA WA JAMHURI MKOANI MOROGORO ILIKUWA NOMA SANAAAAAA
Mmoja
wa Wasanii mahiri ambaye anafanya vyema kwenye tamasha la serengeti
fiesta 2013,Rachael kutoka THT akionesha umahiri wake wa kuimba na
kukata mauno jukwaani,huku shangwe zikiwa zimetawala kila kona ya uwanja
usiku huu ndani ya uwanja wa Jamhuri,mkoani Morogoro.
Sehemu ya mashabiki wa tamasha la serengeti fiesta 2013 wakishangilia vilivyo usiku huu.
Wadau katika pozi la picha usiku huu wakati tamasha la serengeti fiesta likiendelea ndani ya uwanja wa Jamhuri,mkoani Morogoro.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Shilole akiwa madansa wake wakilishambulia jukwaa vilivyo usiku huu.
Serengeti fiesta 2013 ni noma saaana usiku huu,kausheni tuu.!


MKali wa mangoma kutoka Clouds FM,Dj Zero akikamua jukwaani usiku huu wakati tamasha la serengeti fiesta 2013 likiendelea.
Mwanadada
miwngine ambaye anafanya vyema kwenye anga ya muziki wa
Bongofleva,Linah akiimba jukwaani usiku huu kwenye tamasha la serengeti
fiesta 2013 ndani ya uwanja wa Jamhuri,mkoani Morogoro.
Ni burudani asilimia mia kila kona ya uwanja wa jamhuri usiku huu.
Ni
zao lingine la vipaji kuÄitia shindano la Serengeti Fiesta supa nyota
2012,ambaye kwa sasa anafanya vyema sana katika muziki wa
bongofleva,anaitwa Neylee akiimba jukwaani usiku huu.
Wadau wakifuatilia yanayojiri kwenye jukwaa la serengeti fiesta usiku huu.
Na sisi tupo pia na wakazi wa Morogoro noma saana usiku huu.
Pichani kati ni msanii Rachael na skwadi lake wakilishambulia jukwaa la fiesta usiku huu.
Subscribe to:
Posts (Atom)


























